Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

ndugu hukati tamaa aisee...

15000 imezaa 127000 hadi sasa tena online tu.
Nimeizungusha kimoyo moyo maana kuna timu ilishinda goal 2 dakika za nyongeza hela yangu ikapona ndo nikapata hiyo, sasa hapa napozi nimefunga hesabu nasubiri kesho
 
Wadau kama kuna aliyejiunga na bet365,anijuze jinsi ya kuverify account.
 
Jamani eeeh leo nimepigwa za uso ile mbaya hadi nikapata usingizi kwani ilichukua dakika moja tu kuliwa yaamo baada ya kuweka tu hela mtu akapigwa goli
 
Hahaha pole sana mkuu. Timu gn hyo iliyokuangusha?
 
Yeah nilitungua 60000 baadae katamaaa kakasababisha nimebakiza buku tu
 
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wazee wenzangu, nimejaribu bahati nikabahatika, meridian bet online jana wameweka mechi nyingi sana online za ligi mbalimbali duniani pamoja na international friendly matches, nilichofanya nikachagua timu iliyoko nyumbani ata kama siijuwi lakini iliyopewa odds ndogo lakini timu pinzani imepewa odds kubwa, kwaiyo nilichagua odds kuanzia 9.1 kwenda juu............. hii inamaana gani timu iliyopewa odds kubwa hivyo kuanzia 9.1 kwenda juu kushinda nivigumu sana, nikawa nazipa zile za nyumbani tu, nikachagua timu 23 na zote zikashinda, niliweka 5000 nimeondoka na 780,820 nafuraha sana wandugu, na hapo M-BET nimeshawapiga kama 60,000 niliweka 5000 andybird314 Rockcity native rahim_baharia :majani7::majani7::msela::msela::cheer2::cheer2::welcome::bump2::bump2::bump2:
 
Last edited by a moderator:

hongera sana, betting ya online iko poa sana hata mie jana nimeicheza ktk game ya kaizer chief na orlando. Ila bahat mbaya ikala kwangu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mayombo umebahatika sana, umefungua msimu vyema. Msimu huu inaonekana ni wa neema. Nimepanga naweka mkeka nondo wa timu za uhakika mwanzoni mwa ligi. Nauhakika timu zangu za nguvu hazitoniangusha.
 
hongera sana, betting ya online iko poa sana hata mie jana nimeicheza ktk game ya kaizer chief na orlando. Ila bahat mbaya ikala kwangu

mkuu mimi kubet nilikua sijuwi kabisaaaaa, ila kama unakumbuka wewe ndo ulinifundisha, thanks sana, sikutegemea kunasiku ntakula pesa nyingi hivi kwa shilling 5000 tu
 
Back
Top Bottom