Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

unawithdraw nadhani kupitia mawakala wao au pale kko
Naona nao kuna kitu hakipo kwani kampuni nyingi za betting lazima wakupe historia za timu walipokutana huko nyuma ( H2H) kitu ambacho kilikuwepo kwenye meridian na sasa naona kana wamediactivate hiyo option sasa hawa jamaa sijaona hicho kitu ambacho ni muongozo mzuri sana. Halafu naona hawana option ya ku filter option . mfano ninataka kucheza option ya both team to score naziita timu zote halafu nachagua hapa sijaona naona wapo si kidigitali ila wapo ki manual zaidi
 

Steph Curry hapo juu kuna mahali nimeandika wasi wasi ni game ya Indiana.

Recently PG ana poor shooting, eti anascore 12 points at 5-19.

Yaani jamaa ameniangusha.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hii biashara ina changamoto zake utaiweza lakini? Unakifua mkuu mana unapiga miez umemla kanji asilimia 40 yeye kakukunguta 60πŸ˜€πŸ˜€

Mkuu ugumu uko wapi? si just kupredict tu matokeo au kuna lingine?
 
Kwa alichofanya premier betting.... Meridian ajipange sanaaaaaa...... Option 152 mechi moja...option 90 .... Ni Mayaga gete
 
Kwa alichofanya premier betting.... Meridian ajipange sanaaaaaa...... Option 152 mechi moja...option 90 .... Ni Mayaga gete


Kwel mkuu kuna option rahis xana mfano double chance firsthalf,over 0.5 goal yan kanji ajipange tukimshindwa na hapa tuache betting
 
Kwel mkuu kuna option rahis xana mfano double chance firsthalf,over 0.5 goal yan kanji ajipange tukimshindwa na hapa tuache betting

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€:beer:
 
Hivi ntajuaje hayo majamboz mana jana ndo nimeanza kubet ktka maisha yang na nimeliwa.nlitumia M bet wakuu.
 
HONGERENI PREMIER betting. Jambo mons kwenu kama ombi (ninajua mpo humu)

Jiungeni na makampuni ya simu ili kuwezesha kuweka na kutoa mpungA kirahisi ili hata sisi wA huku kishapu tuweze kubet kupitia kampuni henu. Ahsante
 
Mtu anasubiria mpunga wake hapo

Bila shaka x mass utakuwa Londom.Duh,sometimes hii biashara ni tamu,m10 kwa buku 10 tu? hii option ni tamu kiukweli,bila shaka inaweza kuwepo hata mwishoni mwa ligi mechi kadhaa kabla ya ligi kuisha,ngoja nami nijiunge na Ladbrokes nikamate mihela hapo mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…