Nauliza
Huyu ashachaniwaaa huhuuuuu brisbane roar game full time nyau nyauNgoja tuone itakavyokuwa..
View attachment 1702054
Mkuu kalovha ikitokea hivi tuna - copy uliobaki tunasonga mbele.. 😜Huyu ashachaniwaaa huhuuuuu brisbane roar game full time nyau nyau
HahhhhhMkuu kalovha ikitokea hivi tuna - copy uliobaki tunasonga mbele.. 😜
Pesa hiiWazo la leoView attachment 1702294
Mwangalie vizuri Getafe, wanaweza kutoa 'clean sheet' upande wa sociedad..Wazo la leoView attachment 1702294
Duuh mikeka ni dam tupu
Hii ni company gani ya betView attachment 1701033
2 odds for away team to get only 1 goal.
Hiyo app itakwenda kucheza yenyewe au ni binadamu mwenye ubongo atakayeweza kufanya lolote muda wowote hata kile ambacho hamkutarajia?Wadau kuna apps nzuri wanajitahidi kutoa predictions nzuri
99% unaweza kutiki
Nahisi apa kuna ukweli maana dakika ya 70+ matokeo n 1-1For your information leo man utd anachoma. Bata zima la afrika
dah hii hela..maana najikuta nazifatilia timu zako badala zangu.