Man City wamekamilika,Arsenal hawana viungo. Maneno yao meengi,ngoja waje.Man c vipi jamani leo atashinda ?
Fulham kanikosesha 500*1000
Imeniuma sana.
Lille kanikosesha 100*1480
Marselle kaua kabisa
Nokia mkeka mrefu huo punguza kidogo
Msada wazee wenzangu,ningependa kujua namba ya kampun ya meridianbet maana nataka kudeposit kwa mpesa
Leo tusipokula hela basssi tuache kabisa hii michezo
Mkuu mm meridiani siwekagi mkeka wa timu chini ya 10 kunakuwa na game nyingi sana...hapo ongezezea standard liege,club bruge,anzhi