Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Jaamani kubet ni Ujanjaa sanaa...
Kama.mimi.hapa nawekaa za week nzimaa team 2/2/2/2/2/2/2 game 14 j3-j2 game 2 kilaa siku...Hapo trust me mzungu aponi...mi naweka zigo j3 week nzinaaa natick tu
 
Fulham kanikosesha 500*1000
Imeniuma sana.
Lille kanikosesha 100*1480
Marselle kaua kabisa
 
Msada wazee wenzangu,ningependa kujua namba ya kampun ya meridianbet maana nataka kudeposit kwa mpesa
 
Cty,feyenood,ajax,monaco,lyon,molde,malmo...hao hata mmoja akikosa ushindi leo nmeliwa
 
Mmmmh mbona hup mfupi sana. Kuna atletico anacheza pia
Wolves,atletico,stuttgut,mancity,lyon,ajax,monaco
 
Shukran mkuu ila tatzo limekuja kwenye baada ya kudeposit imepita saa 1 na nusu bado ela haijaingia
 
Back
Top Bottom