Zina point ngapi mkuuKesho
Arsenal
Wolfs
Real
All win
ok asante kwa ushauri, ianiuma kwa sababu nauna uwezo wa forecast matokeo ninao , ingawa kinachogopesha zaidi ni mambo ya dini
Handcap ina odds nyingi kuliko normal, zawadi inategemea na dau lako ulilowekaok , kwa hiyo probability ya kuwin normal ni zaidi ya handicap ? vipi treatment ya zawadi kwenye hizo , ni tofauti ?
Zina point ngapi mkuu
In case ukifanyia kazi ushauri wa rootsKesho
Arsenal
Wolfs
Real
All win
hull vs arsen....In case ukifanyia kazi ushauri wa roots
Fanya kutuonyesha mkeka wako mkuuKecho napiga millioni 13
Kasema kecho, maana yake anaota.Fanya kutuonyesha mkeka wako mkuu
Bet win.... Lakini sikuucheza.... Kisa!! Mtandao maamae.... Ile nimetupia tu humu network ikapotea voda tigo wote.... Imekuja kurudi saa5 usiku dah..... Ongera uliefata nyuki...Point 4 hizo
Bet win.... Lakini sikuucheza.... Kisa!! Mtandao maamae.... Ile nimetupia tu humu network ikapotea voda tigo wote.... Imekuja kurudi saa5 usiku dah..... Ongera uliefata nyuki...
Apo wakumhofia ni Wolfsburg maana gent ntim kubwa xio yakawaida ila km unampa labda anaweza akapata matokeo kwakua iz xku gent amekua anapoteza michezo yake ....... In short yan mkek wako uko poaLeo natoka hivi
Real Madrid win
Vfl Wolfsbug win
Grimsby win
Dover win
Ushauri wenu plz kabla sijalipia na anayeweza kufuata karibu sana.
Nmeipenda ktu real kabsa mm mwenyewe nmextukaMtoe Dover,coz atadrawa na umuweke Middlesbrough