Ukiwatumia pesa inabidi uwasiliane nao mda huo ata mimi ilinipa shida ila baada yakuwasiliana nao wakanitumia pin pesa zikasomekahivi superbets ni wajinga kiasi gani maaan niliweka elfu kumi yangu toka usiku lakini mpaka leo ijumaa kuu inaisha sjaona chochote kwenye account yangu. Halafu customer care yao ni mbaya sana. ndo maana hawa m-bet watabaki kuwa my favorite kwa huu muda
Jaribu kutumia namba hizi 0742402651 niliwasiliana na makao makuu yao wakanipa hizo nambahivi superbets ni wajinga kiasi gani maaan niliweka elfu kumi yangu toka usiku lakini mpaka leo ijumaa kuu inaisha sjaona chochote kwenye account yangu. Halafu customer care yao ni mbaya sana. ndo maana hawa m-bet watabaki kuwa my favorite kwa huu muda
Hii coral bet malipo unafanya kwa njia gani mkuuDah sijui why sikucheza hii nimebakia kuclick nakuipiga picha Jana ILA roho haikunipa.
Jaribu kutumia namba hizi 0742402651 niliwasiliana na makao makuu yao wakanipa hizo namba
UK Tu nje ya nchi haikubali Ss pia nafikiri hata za Bongo ukitoka nje ya nchi sijui Kama sheria kucheza zinakubali.Hii coral bet malipo unafanya kwa njia gani mkuu
Ni noma mkuuMnyooooosho hatari.... Shikamoo betting
yaaapJaman hivi ikiwa results ni 0-0 nayo inahesabika ni UNDER
Kuna jamaa aliweka screen shot hapa jana mkeka una kama game 9 hivi. Hamna hata timu iliyozidi odds 1.05. Sasa anategemea atapata kiasi gani.?Kiasi utakachopata kinatokana na odds utakazopata unazidisha na hela unayoweka. Mkuu unahitaj tution mana unaonekana ni fresher ktk game hii.
Wakuu watumiaji Wa mkeka bet naomba mnielekeze jinsi ya kujiunga maana nilikuwa meridiani nikitumia simu inazingua kufunguka