Nadhani itafika hatua humu tutakimbiana kila mtu awe anacheza kivyake sababu hii ya kuitana mawakala. Kwamba mm niko england najua burton hashindi?
Watu na midomo yenu ndio itawaponza, mbona mimi kila siku naliwa humu sasa hapo uwakala uko wapi?
Yaani mtu unaweka mkeka unakula na mwingine unaliwa tatizo tunatofautiana stake lkn mchezo ni ule ule. Sasa ngoja niweke msg niliyolipia tiketi ya Burton na baada ya mechi mtaamua nyie nyie nimekula ay nimeliwa
Mkuu endelea kutuombea sisi tuliobet under 0.5Duh! Naona matumaini kwa Bulton yamezidi kudidimia. Leo nikiliwa naombeeni sitarudi humu tena mpaka next weekend. Nahisi mtaji unaisha sasa
Jiandae kuacha
unajua namna ya kupiga screenshot na ku upload hapa?Akaunti yako ya Mkekabet 76xxxxxxxxxx imeongezwa Tsh 200000. Salio lako jipya ni Tsh 208125. Tembelea www.mkekabet.com au piga 0758606197 kwa msaada zaidi.
Hata mm huyu jamaa nina wasiwasi nae, kwann haweki mikeka yake hapa? Au hizo sms zake kwann hapigi screenshort tuone? Nahisi anatutia ndimu na sisi tuwe tunaweka pesa nyingi ili tuliwe kama kweli yeye anaweka 500000 na kula 900000 aweke mikeka yake tuone au apige screenshort sms akifanya malipo au akiingiziwa mzigo wakeunajua namna ya kupiga screenshot na ku upload hapa?
Mkuu sijawahi kubet mkekabet wala sijui lolote kuhusu wao ila wapo wadau wanaojua watakueleza ila ungesema unahitaji msaada gani ingekuwa vzr zaidiKichuna naomba msaada kwenye Mkekabet.
Bonyeza mechi unayotaka alafu zitakuja options..option ya pili double chance 1x..12..2x ukishachagua unarudi nyuma unachagua nyingine mpaka zinazokutosha basi unaenda kwenye bet slipWadau double chance kwenye mkekabet mnacheza vp? kwa timu nyingi?
wakuu nani amejiunga na bt365 kuna vitu nahitaji kufaham kabla sija sign upKaribuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)... I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)... II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili).... H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)... A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Kikawaida ukibet ukiweka mkeka wako hapa unamaanisha ataoupenda aufate,kuna haja gani kudanganya stake hapa.. hapa watu hawahitaji sana kujua unaeka tsh ngapi weka tips watakao kufuata wakufuate.. wacha kutudanganya sisi