Mkuu mbona nikishachagua mechi nikirudi nyuma inaanza tena upya? au nakosea wapi tena?Bonyeza mechi unayotaka alafu zitakuja options..option ya pili double chance 1x..12..2x ukishachagua unarudi nyuma unachagua nyingine mpaka zinazokutosha basi unaenda kwenye bet slip
kanpuni gani unayobetia?Mkuu mbona nikishachagua mechi nikirudi nyuma inaanza tena upya? au nakosea wapi tena?
Kikawaida ukibet ukiweka mkeka wako hapa unamaanisha ataoupenda aufate,
Mfano ukiweka 1000 ikitoka laki inamaana mtu ataangalia aufate kwa sh ngap na itatoka sh ngap, tatizo la huyu jamaa wa kusoma anatoa odds na hela aliyoweka na atakayopata akishawishi watu wacheze kama yeye akisema sasa kastuka anacheza single bet mwenye hela amfate kesho utapata hela na vitu kama hivyo, chaajabu hakuna ushaidi wowote kuonyesha kweli kaweka laki 5 tuwe makini na huyu mtu kipindi cha nyuma alikuwa anabet kweli kwa 2000 akiliwa alikuwa analalamika sn nashangaa siku hizi anasema anaweka laki5 akiliwa wala halalamiki utamsikia jana muhindi kanipiga leo naweka laki 5 narudisha mtaji wangu.
TUWE MAKINI NA HAWA WATU WA MKEKABET
Hata siku moja hajawahi kupost mkeka wake tukauona,Kweli bana huwezi weka laki tano mara ya kwanza ukapigwa ukaweka tena laki tano urudishe hela yako ni uongo tu
Ebu ona kama hapaBurton usimtoe, kuna pesa hapo. Mimi leo Nimempa Burton ashinde ushindi wa kawaida kwa sake ya laki mbili na nusu faida yangu laki moja.
Usimtoe plz kama ni kulia leo tulie wote
Burton usimtoe, kuna pesa hapo. Mimi leo Nimempa Burton ashinde ushindi wa kawaida kwa sake ya laki mbili na nusu faida yangu laki moja.
Usimtoe plz kama ni kulia leo tulie wote
Mbona unalazimisha hivyo kuwa asimptoe bob kuna nini hapo
Naona Wakusoma kawashika watu masikio humu dat why kila siku watu wanalia
Me namuogopa uyo wa kusoma cz nimeanza kumfatilia siku nyingi enzi anaweza dau zake za ukweli humu sh 2000 na buku
1000 saizi muongo wa kutupwa uyo jamaa msome hapa chini kipindi anasema ukweli lkn now muongo aweki pesa zile Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (kubet) - Karibuni tubashiri Mechi za Leo!
Huyu wakusoma ni jipu[emoji53] [emoji4]Nadhani itafika hatua humu tutakimbiana kila mtu awe anacheza kivyake sababu hii ya kuitana mawakala. Kwamba mm niko england najua burton hashindi?
Watu na midomo yenu ndio itawaponza, mbona mimi kila siku naliwa humu sasa hapo uwakala uko wapi?
Yaani mtu unaweka mkeka unakula na mwingine unaliwa tatizo tunatofautiana stake lkn mchezo ni ule ule. Sasa ngoja niweke msg niliyolipia tiketi ya Burton na baada ya mechi mtaamua nyie nyie nimekula ay nimeliwa
Huyo jamaa ni mfanyakazi Wa mkeka bet tushamjua alifosi sana mchana kusema kuna elaEbu ona kama hapa
Inawezekana, kwann asiwe anaelekeza watu jinsi ya kutumia mkeka bet na option zake na awe anajibu maswali ya wateja nahisi ataiingizia hela kampuni yake kuliko anavyofanya sasa hivi?Huyo jamaa ni mfanyakazi Wa mkeka bet tushamjua alifosi sana mchana kusema kuna ela
Burton ni timu ya kipuuzi sana, anaongoza ligi lakini ana lost 9 na draw za kutosha..kwa nini muendelee kumpa win.Kuanzia kesho naweka screen short ya mikeka yangu. Kigoma na uwakala wa Mkeka au Mbrt wapi na wapi jamani?
Bahati nzuri Mkeka bet wana Bet history kesho naipiga picha michezo yangu yote ya nyuma na kuianika hapa.
Kweli leo nimeumia sana kwa Burton kudraw watu wamenielewa vibaya japokuwa niliangalia position yao kwenye ligi na head to head nikawa na imani kubwa sana naye.
Sijafurahishwa kuanza kutukanwa kwa vitu tunavyovifanya kwa hiari bila kulazimishwa. Na nimekiri kabisa leo mtaji umekoma nilikuwa nimeshatengeneza karibia 2m leo hii nimeanza kubet kwa kukopa M-pawa kwa sababu ya hundu lenu.
okay do that to prove us wrong...Kuanzia kesho naweka screen short ya mikeka yangu. Kigoma na uwakala wa Mkeka au Mbrt wapi na wapi jamani?
Bahati nzuri Mkeka bet wana Bet history kesho naipiga picha michezo yangu yote ya nyuma na kuianika hapa.
Kweli leo nimeumia sana kwa Burton kudraw watu wamenielewa vibaya japokuwa niliangalia position yao kwenye ligi na head to head nikawa na imani kubwa sana naye.
Sijafurahishwa kuanza kutukanwa kwa vitu tunavyovifanya kwa hiari bila kulazimishwa. Na nimekiri kabisa leo mtaji umekoma nilikuwa nimeshatengeneza karibia 2m leo hii nimeanza kubet kwa kukopa M-pawa kwa sababu ya hundu lenu.
Kusubiri mikeka ya wa kusoma ni sawa na kusubiri meli airport,okay do that to prove us wrong...
nitakuwa miongoni mwa watu watakao kusafisha hapa...