Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

N

Asante naanza kuweka sceen shot zote za bet nilizokula na kuliwa. Naomba mnielewe hlf tuendelee na maisha ya kumwinda mhindi.

Simu yang yenye uwezo huo haikuwa na moto, nimeichaji na usiku huu wa saa tisa nimeamka niwatoe watu wasiwasi.
 
Naomba n

Naona nashindwa kuupload zipo kama kumi naombeni member mmayemwamini anajua kuapload vizuri anipe namba yake nimtumie whatsap inbox hlf yy aweke hapa. La msingi asiweke wazi namba yangu
 
Naendelea kuprove people wrong
Lkn naombeni pale nilipokosea nikasema laki tano badala ya hamsini au laki moja badala ya kumi tusameheane hizo ni typing error
 
Kama kuna mkeka niliongelea humu sijauweka mnikumbushe maana zote ninazo
 
Naombeeeni nilale jamani naona mtandao ni shida la msingi tuelewe wote hapa tunapambana na mhindi sio kuanza kutupiana maneno sisi wenyewe.

Mimi Wa kusoma niko Kigoma sasa huo urafiki na mhindi niutoe wapi? Kwanza kujua kubet mimi nimejifunzia humuhumu akina Mtoto wa nzi ndio walikuwa wananielekeza nini maana ya O/U
 
Naomba n


Naona nashindwa kuupload zipo kama kumi naombeni member mmayemwamini anajua kuapload vizuri anipe namba yake nimtumie whatsap inbox hlf yy aweke hapa. La msingi asiweke wazi namba yangu
Tuma hapa 0714600060.
 
Mi maswala ya stake i don't care as long as alikuwa anabet au sio
Tatizo Muongo aliona akuna root wanaeka stake kubwa akaja kutudanganya Apaa kumbe elfu tano tano kama sisi wakusoma unaongeza sifuri kwa faida ya Nani
 
Jamani mbona mnachukiana tena, mi nashauri bora muwe mnaweka timu pekee, msiweke sh ngapi maana watu wanaweza waamini kumbe mmedilisha na kuweka kahela kadogo, wakajua mmepigwa kumbe wewe hasara umepata kidogo
 
hapo sawa biashara iendeleeeeee
 
hahaaaa, ndio tulivyo wanadamu, ila naona unaongeza sifuri moja kwa kila dau ynalotuambia, mfano ukiweka 50,000 unatuambia umeweka 500,000, nilishangaa wewe utakua ni mtoto wa fisadi gani? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…