Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari za wakusoma ziishe hapa ni vita dhidi ya mhindi leo tunatokaje sasa wekeni desa
 
Leo option za ushindi ni ngumu. Nashauri wanaobeti leo tuangalie sana sana kwenye magoli.

Timu hazieleweki kabisa
 
Wakusoma ni wakala wa mkeka bet.. n mfanyakazi .. tumpuuuuze wadau....
 
Huyu wakusoma sio wa kumfuata mkuuuu.... n mfanyakazi wa mkeka bet.. kaz yao n kuingia kwenye hiz social media na kupotosha umma..
 
Unalipia hizo mikekaaaa....???
 
Tatizo Muongo aliona akuna root wanaeka stake kubwa akaja kutudanganya Apaa kumbe elfu tano tano kama sisi wakusoma unaongeza sifuri kwa faida ya Nani
Jamaaa muongo.. ana bet 5,000 anasema laki tano....
 
Huna tofauti na wakusoma wewe, kila siku hockey hockey..tukikuambia weka mikeka hiyo ya hockey humu unakimbia.
Haaaaaah haaaaah [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Wadau habari za muda. Embu tuchambue hapo tupate za hela. Ila kwa ushauri na uhakika tuzigawanye ziwe mbili mbili au tatu tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…