Vijana nlikuwa kimya kidogoo nikisoma comment bila kuchangia kitu bt wacha nitoe neno la hekima kidogoo....haipendezi wala haileti maana vijana tukiwa na akili zetu timamu kumtukana mwenzako kama mmetofautiana sehemu ni vizuri kueleweshana kuliko kumtukana mtu kumwita majina yasiyo pendeza binadamu mwenzako pili humu wachache ndo tunajuana so kukutana hum isiwe tatizo kumtukana kijana mwenzako na pili anaweza kuwa kakuzid umri bt kinacho pendeza waungwana na kuvumiliana pasipo kutoleana lugha chafu.
Nawaomba vijana tuelekezane kwa upendo.
Kama nmekukera nisamehe bure bt chukuwa ushauri wangu