Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah, leo nilikuwa na mood ya kumwaribia mzungu, sema kashtuka kaharibu mtandao.

Mngeshtukia kesho nawaonyesha salio tu.
 
Mkuu umechambua vzur sana ila binafs sababu ya kutompa juve ni moja tu kwa mbet leo mchana juve win walimpa 1:28 baadae wakampa 1:3 yani wakaongeza na kuloose wamemwekea kama 7 sasa wasiwas wangu ni huu nilitegemea juve angepewa 1.12 au 1.15 cha ajabu kapewa point nyingi huoni kuna walakini hapo kama ndio upangaj wa matokeo Ila kama juve anakupa imani zaid wewe muweke ukishinda ndio furaha yangu
 
Sidhani kama juve watakuja rudia tena sakata la upangaji wa matokeo walijifunza mi nabetia mkekabet kapewa 1:23 na meridianbet ni 1:24 Zimedumu kwa wiki sasa, poa mkuu uamuzi ni wako
 
Juventus
Dortmond
Weka laki hao wengine achana nao
Mimi nasubiria kesho
Juventus win
Bayern Munich win
Dortmond win
Chelsea win
Atletico Madrid win
Plzen win
Naweka laki kesho naombeni mawazo yenu na dua zenu. Natamani nimuongeze na Celtic win ila nafsi imesita
jamaa yangu kama alifata ushauri wangu hapa amekula
 
Kesho ndugu zangu kuweni makini msibet kwapupa maana kesho nahisi kuna matokeo ya ajabu ajabu sana
 
Kwel kaka utadhan timu zinapanga matokeo jumamosi ukiibet kichwakichwa unaliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…