Ndugu achana na huu ulevi...oooh!ikiingia hutoki...ila sio mbaya tuongezekeSijajua jinsi ya kubet nielekezeni wazee wa kubet
Utaliwa wewe..Jamani bado juventus nipige hela ndevu tuombeane
Vp ndugu unalipa au haulipi..Ndugu achana na huu ulevi...oooh!ikiingia hutoki...ila sio mbaya tuongezeke
Pamoja mkuu hiyo umeshavuta usiwe na wasi wasi na juveJamani bado juventus nipige hela ndevu tuombeane
1.andaa kiasi cha pesa ambacho hakitaathiri maisha yako ya kila siku.Vp ndugu unalipa au haulipi..
Hongera Wa kusoma!Nina hakika leo mhindi ameipata. Kwa umoja huu tutasonga mbele. Waliocheza magoli leo siamini kama kuna aliyeliwa.
Niliaandaa mikeka mitatu nikalipia mmoja na zote zimetick
Muwe mnaweka uthibitisho na sio kuongea tuJuve tunaongoza moja naiona million mbili zinanukiaaa
Milion bila caption yoyote ni unafikiMuwe mnaweka uthibitisho na sio kuongea tu
Unatumia simu weka captureNiliweka mkeka wangu wiki kabla hapa na nilisema nitaweka laki moja leo. Sijawahi kushinda bet. Nikishinda leo itakuwa mara ya kwanza
The meaning of risk taker...bet won loadingDoing any business u have to be a risk taker...madrid ana point 5 ...can we take a role? Japo hata 10,000 kwa team moja
Hongera sana johThe meaning of risk taker...bet won loading