Doing any business u have to be a risk taker...madrid ana point 5 ...can we take a role? Japo hata 10,000 kwa team moja
wa kusoam leo ulibet kwa kampuni gani??Tukutane kesho jamani tupeane ujanja lkn maswala ya matusi yaishe tutaishia kumfaidisha mhindi hivi.
Leo tumeenda sawa naamini
Wakubaki ni ajax panayhaikos fernabache na aberdeenLeo natoka hivi
Dynamo Zagreb
Aberdeen
Fc Copenhagen
Ajax
Novara
Aek Anthens
Panathoakos
Fernabache
Inter
Napoli
All to win
Nataka niweke 100 000 naombeni ushauri yupi abaki yupi atoke.
Sawa mkuu jana nimepunguza team nikajikuta nimepunguza hela. Ngoja tuendelee kuzichambua hizi team za leoWakubaki ni ajax panayhaikos fernabache na aberdeen
Attachment haifunguki mkuuNamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa siku nyingine tena,
Baada ya kumsulubisha mhindi jana Leo natoka kihivi, atakayenifuata poa..
Ni kweli Mzawa asilia. Nilishasema huwezi kula kila siku ila unaweza ukaliwa kila siku. Hamna siku hata moja ambayo mhindi anapata hasaraWakusoma jambo zuri hilo option za magoli zinatoa sana
Mimi huwa naweka must win tatu then NNE naweka 1+ or 2+ kwa wale wa mkekabet over 0.5 na 1.5 nimejaribu zinatoa japo Mara mojamoja zinazoharibu hazikosekani
Iko hivi..Attachment haifunguki mkuu
Unabetia kampuni ipi yenye hyo option ya over 1.5Leo nipo hivi;
1. Fenevahche
2. Napoli
3. Dynamo Zagreb
4. Novara
5. Ajax
All over 1.5