Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,451
- 17,939
Mkekabet.Unabetia kampuni ipi yenye hyo option ya over 1.5
walichofanya meridian weekend hii..yaan mtandao ukirud natoa mpunga wangu bora nkaweke supabet hawa meridian wanfany makusud mkuu waliona jana kulikua odds nzur sana na mech nyng sana zilikua zko direct so watakua wamechezea mtandao makusudi maana haiwezekan mtandao unasumbua mi nko moro toka juzi ucku cjaweza login au ukilogin inajilogout waliona cku ya jana online watapigwahawa meridian ma k sana , kila siku server error sijui ma IT wao wanafanya kazi gani-mbona kaampuni kama william hill haijawahi kuwa hv ngoja nitafute hela niingize kwenye account zangu za william hill na bet 365
ndo tabia yao wakiona kuna mechi nzuriyanii meridian imenikosesha pesa leo tena ni mizinguo
sasa hivi upo vizuri!walichofanya meridian weekend hii..yaan mtandao ukirud natoa mpunga wangu bora nkaweke supabet hawa meridian wanfany makusud mkuu waliona jana kulikua odds nzur sana na mech nyng sana zilikua zko direct so watakua wamechezea mtandao makusudi maana haiwezekan mtandao unasumbua mi nko moro toka juzi ucku cjaweza login au ukilogin inajilogout waliona cku ya jana online watapigwa
ahaa ngoja nichek aiseendo tabia yao wakiona kuna mechi nzuri
sasa swala la password linawahusu mkeka bet kweli?
mkekabet nao wanazingua ... daah !! siwezi kulogin, wanasema "the password is wrong ... "
sasa swala la password linawahusu mkeka bet kweli?
napoliiiiii leooooo%@%@)#)#(-'?%-%-_-#)@Nasubiri muda tu
Leo wanazingua unaweka namba na password yako zikiwa sahihi lakini wanakwambia umekosea wakat ulizoweka ndizo sahihi...sasa swala la password linawahusu mkeka bet kweli?
Unadhani linawahusu nani km system ni ya Mkekabet??
Mkuu hongera1153857793547 Standard account
------------------------------------------
[2/2]
0684 03-04 13:00:00 Athletic Bilbao-Granad
Total Goals 2-6 1.31
1110 03-04 13:30:00 Basaksehir-Mersin IY
Total Goals 2+ 1.23
------------------------------------------
Total: 50000.00
------------------------------------------
Total odd: 1.61
Max payout: 80565.00
Combination count: 1
------------------------------------------
03-04 12:03:19