Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naomba kueleweshwa maana ya double chance na over sijui under
Double chance maana yake ni kwamba unatabiri matokeo ya aina mbili kwa wakati mmoja e.g

1X hapa maana yake ni kwamba timu ya nyumbani (1) itashinda au mpira utamalizika kwa sare(X) (iwe ya kutofungana au kufungana)

X2 Hapa maana yake ni kwamba matokeo ya mechi yatakuwa sare(X) au timu ya ugenini(2) itashinda

12 Hapa maana yake unatabiria either timu ya nyumbani (1) itashinda au timu ya ugenini(2)itashinda.

Kila la Kheri mjukuu wa lowasa
 
Una sifa za kuwa mwalimu. Asipoelewa hapa, aache kubeti mara moja maana betting ni shule tosha.
 
Sijaelewa kabisa.
 
Nahisi mechi za UEFA Champions League Leo Kuna Team moja kati hizi zitashinda 5 bila
FT: Liverpool 5 - 0 FC Internazionale
FT: Bayern Munich 5 - 0 Red Bull Salzburg
Huyu bayern anaweza kumpiga mtu 5 bila kwel maana form yake si nzuri na salz nao wako vzr
 
Ni kampuni gani hii chief?
 
Sijaelewa kabisa.
Usijiwekee ugumu wa kutoelewa,angalia hapo,hiyo 1x maana yake wa nyumban ashinde au droo,hiyo 12 maana yake ashinde yeyote Hapo ikitoka droo umeliwa,X2 maana yake ashinde wa ugenini au droo.
NB:TIMU YA KWANZA KUANDIKWA NDIYO YA NYUMBANI

over 1.5 maana yake magoli yaanzie mawili na kuendelea mfano 1 kwa 1,under 1.5 maana yake magoli yasifike mawili
Over 2.5 maana yake magoli yaanzie 3 na kuendelea eg 2:1,3:0,3.1,under 2.5 yafikie matat eg 2:0,1:1
Over 3:5 mgoli 4 na kuendelea,under 3.5 maana yake yasifike manne,usipoelewa hapo Bora uendelee na siasa
 
Ila ligi za mchangani england huwa ni pasua kichwa kweli hazijawahi kueleweka kabisa
 
"And somewhere in the darkness, the gambler he broke even"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…