Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijaelewa kabisa.
Twende taratibu ila nitachanganya lugha ili tuelewane vizuri.

(i) Kwa kawaida kwenye mpira kuna matokeo matatu TU kama unavyojua yaani HOME, DRAW na AWAY

(ii) Kwa lugha ya betting (mikeka) matokeo hayo matatu yanawakilishwa na tarakimu na herufi, yaani;

HOME = 1
DRAW = X
AWAY = 2

Hivyo basi tukizungumzia DOUBLE CHANCE maana yake matokeo mawili kwa wakati mmoja.
Kwa mujibu wa mfano wangu wa kifungu cha (ii) hapo juu aya ya kwanza itakuwa hivi;
1X = HOME OR DRAW (ashinde wa nyumbani au sare)

2X = AWAY OR DRAW ( ashinde wa ugenini au sare)

12 = HOME OR AWAY (ashinde wa nyumbani au wa ugenini)

UMEELEWA?
 
Mkuu hiyo ni sawa na odds 2 za uhakika, sio kama zetu za kina liverpool. Hongera kwa ubunifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…