Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi kwa uelewa wangu hapo ni kwamba ashinde wa ugenini au kusiwe na cleansheet kwa tim yoyote ile... Sasa wa ugenini kashinda, ila clean sheet haijakuwepo, sio kwamba nastahili kushinda... Maana ni options mbili kwenye game moja
 
Mechi 6 hela niliweka 2000 , return ilikuwa ije 65k ila. Man city kashindwa kumpata goli hata la penalti , ngoja nipite puchu mara Nane kuanzia sasa mpka kesho saa 6 mchana ..
Bado kidogoooooo tuuuuu!!!! Umeikosa dopamine rush kwenye betting unaenda kuitafuta kwenye punyeto. Ukimaliza withdrawal syndrome kicks in then kesho unabeti tena ,kanji akikubutua unarudi kwenye nyeto.
 
YH mzeee now. Nina cheki booster hapa www.xvideos.com maana zmerudi Toka russia
Bado kidogoooooo tuuuuu!!!! Umeikosa dopamine rush kwenye betting unaenda kuitafuta kwenye punyeto. Ukimaliza withdrawal syndrome kicks in then kesho unabeti tena ,kanji akikubutua unarudi kwenye nyeto.
 
Wataalam wa hesabu nina swali.
Mfano kuna mechi 13 natakiwa nibeti kwa 3 ways yaani HOME, DRAW OR AWAY.
Ili nizipitie mechi zote kwa option zote, natakiwa nifyatue mikeka mingapi?
Sijui kama nimeeleweka! kama kuna mtu amepata idea ya swali naomba aliweke sawa ili lieleweke.
Mayu Tipstipstor
 
[emoji3][emoji3][emoji3] swali zuri sana watu washapitia huko.. hapo unatakiwa uweke zaidi ya mikeka 12000 kitu ambacho utakuwa una fanya biashara kichaa ya kumpa ela yako kanji tu kwa sababu stake utakayo weka kwa mikeka zaidi ya 12000 hakuna return itakayo kuletea faida zaidi ya janji aliyo pata kama ukipata hiyo beti.
 
Nadhani unazungumzia Jackpot ya Betpawa ya milion 10

Kama ni hiyo basi ni simple tu
Nenda kwenye hiyo jackpot na pick machaguo yooote
Chini pale itakuonyesha NAMBA YA MIKEKA na amount unayotakiwa kustake kwa jumla ya hiyo mikeka yote

My friend stake utakayo tumia itakua mara hata tatu ya prize utakayo win baada ya kucover all possibilities

Bookies wako hatu mia mbele yetu mkuu
 
Dah! Yaani imebidi nicheke tu.
Yaani tunachofikiria sisi, wao walishakipigia hadi mahesabu.
 
Yaani kanjibai kajitengenezea kanuni za kula yeye tu. Sisi kumla yeye ni bahati tu.
 
Mechi 6 hela niliweka 2000 , return ilikuwa ije 65k ila. Man city kashindwa kumpata goli hata la penalti , ngoja nipite puchu mara Nane kuanzia sasa mpka kesho saa 6 mchana ..
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚πŸ€£
 
Simple probability...kila mechi ina matokeo matatu, home ,draw na away.kwahiyo katika timu 13 unatakiwa utengeneze mikeka....

3^13 = 1,594,323

Jumla uwe na mikeka hiyo ukizidisha mara 2000 kwa kila mkeka itakuletea 3.6 billion...ukitoa jackpot ya sport pesa ambayo ni 1B ...unaangukia kwenye hasara ya 2B
 
Yaani kanjibai kajitengenezea kanuni za kula yeye tu. Sisi kumla yeye ni bahati tu.
Kamari imetokana na mabingwa wa hesabu waliokosa kazi na kuamua kujiajiri kupitia wajinga wengi (punters) . Ili hali utaendelea kubeti jua kuwa mwisho wa siku pesa yako yote itarudi kwao wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…