Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mi kwa uelewa wangu hapo ni kwamba ashinde wa ugenini au kusiwe na cleansheet kwa tim yoyote ile... Sasa wa ugenini kashinda, ila clean sheet haijakuwepo, sio kwamba nastahili kushinda... Maana ni options mbili kwenye game moja
Yaah nmechanganya kidogo kama clean sheet haipo inamaana ameshinda ni kweli mkuu.
 
Tujaribu mbili hizooo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…