Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nashukuru Mkuu, si unajua Hesabu janga la Taifa! Hahaha.
Vipi ikiwa OVER 0.5 au OVER 1.5 au OVER 2.5, wanamaanisha nini????
Aaaaha hesabu za desimali!
0.5=1+
1.5=2+
2.5=3+
Nadhani tumekumbushana
 
Wigan salaam sana mkuu....
Maana umechana bila masikhara!!
 
Huyu anderletch na feyenoord kuna mikeka sijawaweka nahisi ndiyo majipu ya leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…