Mpaka asaini hiyo cheki...hii tu tunasema mtu na mtu
Ntangolane ndabhalamusa chane in mwembetogwaubharamuse aho imwanga breakpoint mwene wachu ahahahhaah
Bet wonSunderland vs Everton 2+
Stake 500,000/=
Bet wonUFA 2+
Krasnador 2+
Mordoviya 2+
Panions 2+
Wakuxoma tupe mikeka ya leo tucopy and pasteBet won
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Bet won
Utakubali kucheza odd 2?Buddy na Wakusoma vipi za mchana kutafuta hela ya mboga
Serious? ngoja kesho niangalie taratibu za kujiunga ... heheheh
Yeah man tena nataka nianze tena kukufuata nijenge tena mtaji kakaUtakubali kucheza odd 2?
Ingia superbet.tzWapi hao supabet!??
Nipe izo odds 2 mkuuUtakubali kucheza odd 2?
Hivi meridian kwa sisi wateja wa online huwa hakuna ile bonus ya 22%.?
maana hii bonus huwa inasaidia katika makato ya kodi.
Bonus ipo meridianbet ila ni 17.9% ~ 18% (ni sawa na kodi inayokatwa kwenye mkeka) ... ukishinda wanakuwekea km Bonus.
View attachment 346891
Huo unakuwa uhuni sasa, mbona wale wanaotoa mkeka wa karatasi kwa meridian haohao wanapewa bonus in cash na inajumlishwa katika mkeka.? kama sijakosea huwa inakuwa ni 22% ya winning stake. sasa kwa sisi wa online kuturudishia hiyo bonus kama bonus maana yake huwezi kuitoa kama ukishinda mpaka uichezee tena na ushinde ndo utaweza kuitoa.
Hii ni double standard na biashara ya kihunihuni.