Dortmund jipu aiseee
ahaha polee mkuuDaaah, kweli wingi wa timu sio guarantee ya kushinda bet. Yani kati ya mikeka mi5 kwa siku ya leo unapumua mmoja tu mpk dakika hii, mingine yote chaliii ... wallah Dortmund kanikomesha [emoji36][emoji36][emoji36] nlimuweka kwny mikeka miwili, walau nayo ingekuwa inapumua, daaah [emoji134][emoji134][emoji16][emoji16]
Kilichobaki nijifunze kuweka stake kubwa niwe nasafiria nyota yakoUnder first half
Madrid 2+
Barcelona 2+
Juventus 1+
Kilichobaki nijifunze kuweka stake kubwa niwe nasafiria nyota yako
Hahaha ... kuwa makini na stake za Wa Kusoma, anaongezaga sifuri [emoji85][emoji1493][emoji1493]
Hahaaaaaaa! Mhindi kalazwa 1.2 hapa.Under first half
Madrid 2+
Barcelona 2+
Juventus 1+
Karibu..Mi nipo Unguja huku..wiki ijayo ndo narudi ofisini..Nimeeeekomaaaaa......nimekooooomaaaaa..... Nilizani poapoaaaaaa kumbe sio poaaaaaaa....... Mtoto wa nzi ........ Khaaaaa kipindi nimepata shidaaaa ya misiba nimempigaaaaaa mhindi...... Duh.... Tangu tuzike wiki ya pili bilabila....... Likizo inanihusu
Akiongoza sifuri mi ntakuwa napunguza sifuri moja kwenye stake anayowekaHahaha ... kuwa makini na stake za Wa Kusoma, anaongezaga sifuri [emoji85][emoji1493][emoji1493]
Mfyuuuuuuu....... Stake 500000..... Maninaaaaaa........ Unajua mrefu kwako...mfupi kwa wenzio....... Jipimie kina......
Screenshot zipo.... Na kuna wapiganaji wa nchi kavu.... Wanatia mzigo.... Wa ukwe'nhe..... Tungekuwa tunatoa tips tu.... Madau Mungu anajua.... Mnatisha watu..... MTU ana cha ngama buku...afu we we unatia 500000.... Unamtikisa jamaaaHahahaha ... iga ufeee !! wengine ukiona stake 50,000/- ujue ni buku dasi (5,000/-). We hushangai kutoona mkeka unarushwa humu, wanarusha maneno tu ambayo hata ww unaweza kuyaandika ... teh teh teh
Hakuna crazy bet hapo....imekaa sawa tuu.Subir Dakk 90Crazy bet
Lorient
St etienne
Bordeaux
Screenshot zipo.... Na kuna wapiganaji wa nchi kavu.... Wanatia mzigo.... Wa ukwe'nhe..... Tungekuwa tunatoa tips tu.... Madau Mungu anajua.... Mnatisha watu..... MTU ana cha ngama buku...afu we we unatia 500000.... Unamtikisa jamaaa