Ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Hahahaha ... iga ufeee !! wengine ukiona stake 50,000/- ujue ni buku dasi (5,000/-). We hushangai kutoona mkeka unarushwa humu, wanarusha maneno tu ambayo hata ww unaweza kuyaandika ... teh teh teh
Likiongezeka goli moja tu hapo inachanika yote, yaani hapa nimezibinya mpaka basi.
Hahaha Kumbuka muhindi nae anaminya sharubu zake.....Likiongezeka goli moja tu hapo inachanika yote, yaani hapa nimezibinya mpaka basi.
Hehehe...Hahaha Kumbuka muhindi nae anaminya sharubu zake.....
Jiandae kupiga yoweeee
Ushachanika bossLikiongezeka goli moja tu hapo inachanika yote, yaani hapa nimezibinya mpaka basi.
Cagliari (Italia seria B) - 1.89
Instanbul BB (Turkey super league) - 3.25
Arouca (Portugal Liga zon sagres) - 2.27
--------
Total odds = 13.94
Stake = TZS10,000/-
Mbona naona bado 3-1 dak ya 90 mkuu? Niliweka under 4.5Ushachanika boss
Likiongezeka goli moja tu hapo inachanika yote, yaani hapa nimezibinya mpaka basi.
Noma tupu mkuu..naona na wafaransa wameamua kufungana aisee full pressure.Hahahaha ... daaah, hapo ukute kuna mdau mwingine analisubiri hilo goli jingine. Mungu wetu ana kazi kubwa sana !!
Hahahahaha kila mtu anaminya mapum....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha ... daaah, hapo ukute kuna mdau mwingine analisubiri hilo goli jingine. Mungu wetu ana kazi kubwa sana !!
Hahahahaha kila mtu anaminya mapum....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii inaitwa Bahati Nasibu
Bora ww mkuu 60 mm 1.2M cna ham naeSitaki kuamini yani dortmund ndo kanikosesha elfu 60 hv hv, bora zingekuwa at team 2 kuliko yeye tu. Ndomana mungu kakulaani huna at kombe la mbuzi
Bora ww mkuu 60 mm 1.2M cna ham nae