Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

80% nahisi lyon wamepanga matokeo, haiwezekani wafungwe goal zote zile na team iliyopoteza match 4 mfululizo. Yani italia na ufaransa kwa kamali sijui wataacha lini
Hiyo timu nilikuwa lazima ishinde walau isalie kwenye lig 1
 
daaah ... man ulienda vzr kinoma !!! 🙁🙁
Tatizo kujua mchawi alipojificha daaadeki .... grrrrrrrrr

pole sn, daaah inasikitisha sn huu mkeka wallah.
Bora hata huu,kuna ule mwingine wa 3+ M-Bet duh!wameuchana Lorient vs Ajaccio..
 
Hiyo timu nilikuwa lazima ishinde walau isalie kwenye lig 1
lakini sio kirahisi vile. kumbuka lyon katoka kumpiga mtu goli 7, iweje leo afungwe na kibonde kienyeji kama hivi? hapa lazima FFF waingilie kati hii MATCH FIXING.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…