Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nataka kujilipua 5+ kwa mechi ya Man U.......

Ina return kubwa,ila maumivu yake sasaa!! Hahahahahahahahahhahhahahahahha
 
Buddy salute kwako. japo hujashinda ila upo vizuri sana. one day yes.

mie nishaweka bomu chemba tayari.
Frydek-mistek - Trinec 1.60 Under
Pardubice - Ceske Budejovice 1.70 Under
Varnsdorf - Slavoj Vysehrad 1.85 Under
Aarhus - Aalborg 1.75 Over
Hull City - Derby 2.05 Over May 17
Fc Krumkachy - Dinamo Minsk 1.60 Under
 
Nataka kujilipua 5+ kwa mechi ya Man U.......

Ina return kubwa,ila maumivu yake sasaa!! Hahahahahahahahahhahhahahahahha



Hahahah, mkuu unataka kumpa Man U ashinde goli 5 (Home team goals 5+) ama mechi nzima itoe 5+?
 
Account ID ipo fanya ka unabet weka team yoyote alafu nenda ke betslip pale kwa juu kuna ID number yako
Asante mkuu...nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.
 

Umecheck kwenye email yako?? huwa wanatuma activation link kwenye email. Ukiiclick hiyo link ndio unakuwa ume-verify na account yako inakuwa activated.
Yeah! Activation link iliingia kwenye spam nikawa siioni. Nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.
 
Account ID huwa wanaituma kwenye Email yako(uliyoIandika)....

Vinginevyo, Wapigie tu....Mambo yatakuwa Murua.
Mkuu email iliingia kwenye spam, nilikuja kuiona baadaye kabisa. Nimeishafanikiwa kujiunga ila niliweka fedha kabla akaunti haijawa ACTIVE (nilidhani kua-activate account ni kudeposit hela). Baada ya kuona akaunti haiko active, nikapiga Customer Care wakaniomba niwatumie details (jina la mpesa, account no, na namba ya simu)...waka-activate akaount lakini salio likawa linasoma Tsh 0.00/=. Nimepiga leo kuwauliza wakaniomba receipt ya mpesa, wakanambia pesa zangu zitaonekana kwenye akaunti lakini mpaka sasa HOLA. nina wasiwasi hawa Meridian ni WEZI.
 



Hapana sio wezi, lazima hela yako watakuwekea tu. Mi kuna siku niliwahi kukosea ID yangu (namba ya kumbukumbu ya malipo) wakati nadeposit nikawapigia wakacheck kwnye system na kugundua hiyo ID nliyoiweka ilikuwa ni ya mtu wa nje (one of the Scandinavian countries) lkn walikuja kunirudishia baada ya siku 2. So rest assured hela yako wataiweka tu kwa account yako km umeshawataarifu.
 
Mkuu naomba nitembelee nyota yako leo
Tupia mzgo mapema



Chief leo hakuna timu nyingi so ile option yangu ya timu nyingi leo naona haina nafasi ... ila kuna mkeka nimeutuma hapa jamvini nasubiri ushauri wa wadau naona hatupeani "airtime" na baadhi ya game karibu zinaanza ... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Nataka nitoke hivi ...


 
WAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
 
WAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE
kila moja ina uzuri na ubaya wake inateemea wewe unahitaji qualification zip !
uzuri ni subjective
 
WAKUU NAHITAJI KUJIUNGA NA ONLINE BETTING IPI NI KAMPUNI NZURI NIJIUNGE NAYO USHAURI PLEASE




Kama alivyoshauri Pri, na kwangu mm pia meridiabet is the best. Wanatimu/nchi/options nyingi sana za kuchagua. Unaweza kuanza nao hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…