Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu, kama vile ulikuwepo....tayari wameniwekea fedha kwenye akaunti...sasa ni kumkandamiza mhindi tu kwa kwenda mbele. je, ikiwa nimebet na ku-SUBMIT mkeka naweza kuufanyia masahihisho (ikiwa bado mechi hazijaanza)? nimesubmit mkeka wa kwanza lakini kila nikigonga kwenye betslip ili niweke mkeka wa pili wananiletea ule wa kwanza. nitafanyaje niweke mkeka wa pili ama mpaka nilog oo halafu niingie upya? halafu nitabonyeza wapi nipate timu za wiki nzima? maana naona wananipa timu za siku moja tu. msaada tafadhali, mimi bado mwanafunzi katika mambo haya.
 
Select timu kama kawaida bet slip mpya itatokea,hapo ndio utaweka stake unayoitaka
 
Uzuri wa jero jero mtu unakuwa huna presha ... lkn ningeweka 20K na kuendelea, uchambuzi ungekuwa mwingi mnoo.
Busy aisee una upepo kichizi kuwa unagawanya mkeka Mara mbili boss afu vp leo
 
Ngoja nikopi na kupesti maana na mm gari yangu spea imekuwa aghari nimebaki naiangalia tu.



Hahahaha ... sawa Chief, twende pamoja. Lakini kwa zile ulizo na mashaka nazo sio mbaya ukaedit kidogo tusije angukia pua wote. Teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…