Aiseh!mchawi kajitokeza mapeema,hela ya service inaleta nyodo.Hahahah ... bora we uliyetupia saiv, mi nimeshakutana na mchawi mmoja ... daaah !!! Yani waSingapore leo wameshindwa kufungana hata goli moja??? bora lkn kaonekana mapema ...
View attachment 348439
Ngoja nimpukute, niurudie tena ... naangalia tena km kuna mchawi mwingine nimteme kabisa wasije wakaifanya safari yangu fupi wkt ni ndefu mpk Ijumaa.
all the best mkuu. unawezaje kuplace timu nyingi hivi mkuu? mimi meridian wanani-LIMIT timu 8 tu....nikiweka timu zaidi ya 8 kitufe cha ku-SUBMIT kinajificha. hii ni kampuni gani nihamie huku mkuu? naona meridian wananizingua tu.For fun, ila ikitiki itanisogeza kweli kweli ... service ya gari imeshakaribia. Ngoja niitafute kwa hii safari ambayo inaishia tar 20 (Ijumaa).
View attachment 348382
all the best mkuu.View attachment 348463Namtaftia humu humu nikiweka za wik sina subra.IPO SIKU TU.
meridian hiyo mukuu MBNA meridian huwa naeka had timu 30all the best mkuu. unawezaje kuplace timu nyingi hivi mkuu? mimi meridian wanani-LIMIT timu 8 tu....nikiweka timu zaidi ya 8 kitufe cha ku-SUBMIT kinajificha. hii ni kampuni gani nihamie huku mkuu? naona meridian wananizingua tu.
all the best mkuu. unawezaje kuplace timu nyingi hivi mkuu? mimi meridian wanani-LIMIT timu 8 tu....nikiweka timu zaidi ya 8 kitufe cha ku-SUBMIT kinajificha. hii ni kampuni gani nihamie huku mkuu? naona meridian wananizingua tu.
Option gan Hui 2+Hulycity 2+
Man U win
Olympiakos 2+
A
mkuu unatumia browser gani? mimi natumia google chrome...labda hii browser ndio inaniletea figisufigisu. hebu tazama jinsi inavyonitesa...sasa hapa nita-SUBMIT namna gani? halafu hiyo herufi B inatoka wapi? isije ikawa naingia chak bila kujijua.Meridian unaweka mpaka timu 30-40.... Utakuwa umejisetia vibaya
Hiyo ni over 1.5Option gan Hui 2+
Tumia browser iliyokuja na simu ni rahisi zaidimkuu unatumia browser gani? mimi natumia google chrome...labda hii browser ndio inaniletea figisufigisu.
mkuu natumia laptop.Tumia browser iliyokuja na simu ni rahisi zaidi
ameshakua mchawiZnojmo anataka kuwa mchawi wetu siku ya leo
halfu mkuu, kila nikitaka kucheck ticket nilizobet naambiwa niingize ticket ID sasa hizi ID ntazipata wapi mkuu?Tumia browser iliyokuja na simu ni rahisi zaidi