Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Okey nilijua unatumia simu...kuangalia ticket zako bonyeza my ticket.. Hiyo check ticket ni kama umebet kwenye betshop ukawa na mkeka..
poa mkuu...nimefungua.
 
Huyu aaborg huyu????
Mola tenda miujiza
 
mkuu hapa ulichanganya kati ya promo offer na selection za kawaida
 
Mikeka yote chalii




Daah mm long time, chaliii ... [emoji16][emoji16], yani timu nyingne ukiziaminia zinakuangusha, usipoziaminia zinafanya mambo ... mxiuuuuuuuuuuu, yani hazitabiriki km hedhi ya dem [emoji85][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…