Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Acha kabisa, yaani mie leo Stars wakifa nahisi tazimia, yumo kwenye mikeka yooote ya leo.


Mimi mechi ya Stars nlikuwa naipita km siioni, haieleweki kbs ... na km ingekuwa ni lazima kuibetia basi ningewapa 2+
 
Mbona husemi asante Egypt?

Poa wakusoma. Asante Egypt maana naweza nikasema asante Egypt watu wakaniona msaliti kwa kuiua TZ. Mkeka mmoja nimeweka both to score Mwingine nilimuua stars 1st half.
 
Samata u.n.a.l.i.w.a. yan najiandaa kuandika bet won unakosa penati.
 
Thats true bto,
Multibet calculations ni tofaut,na wana calculate tofaut..kna graph km fourfigure inayotumika ku calculate multbet,nenda makao makuu wanayo vbandan hua hawana...
.
Kwa ushaur,mkeka wa multibet weka tim 3 alaf zenye odds ya 2.0 na kuendelea alaf chagua multibet ya 2\3,tim mbili zshnde out of three...
Zngne zoote n hasara au kupunguza hasara..
Faida n ndgo
 

Shukurani sana Mkuu nimekuelewa na asante sana kwa ushauri wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…