Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ku promote kivipi mzee mbona watu kibao wana share mikeka yao hao pia wana promote?
Siwezi kuhama sababu sioni sababu ya kuhama, odds zinafanana kampuni zote
 
Unaua siafu na nyundo mkuu ni lazima afe, asipo kufa basi umekwepesha nyundo akaponyoka....ila daaah betting yako ni kama kazi....
Ndio njia realistic ya kumpiga hela mhindi, japo ni hatari mwanzoni ila ukishapata mtaji wako unakuwa huna cha kupoteza

Mimi nime nilipiga laki 8 kwa kubeti hivyo mara 3, sasa hiyo laki 8 ndio nitaigawa niwe nabeti kiasi cha wastani kwenye mechi za uhakika

Formula hii ni kwa mechi za champions league tu, sio ligi
 
Upo vizuri.
 
dk ya 90+ ndio anaachia cashout, pumbafu kabisa sportybet...
sichukui hiko kihela kuleni tu,
hawa wajinga ni kuwahama tu
Unajua Sportbety watu wao wa IT wapo vyema mnooo kulinda taasisi yao.
Kwanza ile Mechi ukiiangalia tu,unaona Dortmund na ubora wake wote anazuia zaidi,unazuiaje wakati Rahim Sterling yupo na moto wake ule.Total football ya Dortmund ingewatoa.

Cashout kuitega vizuri ni kucheza Mechi zinazoachana Saa Moja Moja,ila zikikutana tu muda mmoja na Moja ikawa inachezwa kiutata basi wanafunga Cashout,wanajua hutoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…