Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kama unapendelea kubet timu nyingi kwa stake ndogo basi bet mechi moja tu kutoka katika ligi hizi Tanzania,China,Brazil,South Africa,Misri,Urusi,Serbia na Marekani hizi nchi kuna timu zinaweza zikacheza hata mechi nane bila kupoteza hata moja kwahiyo ulifanya analysis nzuri ya mechi na kuangalia position za timu husika kuna uwezekano wa kula ingawa napo ni kwa asilimia 50%

Ligi za uarabuni na za Asia mara nyingi mechi zao zinakuwa na odds kuanzia mbili na kuendelea..Pia napo kuna timu hasa katika nne bora zinaweza kucheza mechi hata nane bila kupoteza kwa ligi za hapa weka stake kubwa kwa mechi moja au mbili(ingawa moja ni recommended) hapa uwezekano wa kushinda ni asilimia 80% jaribu hivyo
 
Mmi natengeneza odds 2 tu lakin bado napasuka, first nilishaweka under 2.5 lakin bado nikapasuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…