Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni biashara ambayo ipo hatuwez kusema ni utapeli ila kwa uelewa wangu hakunaga fixed games ambazo zinauzwa , fixed games labda akuuzie muhindi mwenyew [emoji41][emoji28]
Wanachofanya wanatoa tofaut tofauti. We akikupa ni tofaut na mwenzako kwahyo katika wote atakao wapa lazma kunaambao zitatoa tuu
Mfano mech ya inter vs benifica
Wakwanza anapewa inter win
Wapili anapewa benifica win
Watatu anapewa draw.
Wengine ndo wanapewa 1X
Wengine X2
Hapo lazma kunammoja atakula tuuu
 

Nimekupat mkuu
 
View attachment 2593432
Angalia mikeka inavyochanika leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vitu vinaenda virceversa
Mkuu ushauri wangu kwako japo si lazima uufanyie kazi.
Week hii kunakishindo kikubwa kitapigwa sijui kinatokea wapi ila kama ikipita basi aga.
Jana utabiri wangu umedhihirika.
Ila hii week inajambo kubwa tabu sijajua ni kampun gan italizwa.
Inawezekana wewe au mm au mwingne au code itatembea jf na watu watashika hela
 

Basi mkuu na ikawe kheri aisee[emoji120]
 
ogopa timu zinazokwepa kushuka daraja,
huddersfield na cardif aisee sio poa, wanachana mikeka hao!
Huyo kadif mwaka 2018 alikuwa anajua kabisa anashuka daraja na mechi ya mwisho alicheza na man u, unaambiwa alipiga mpira huo kama ananacheza fainali ya uefa. Mchezaji mmojawapo alikuwa anaitwa Babel pumbaf zake sijui yuko wapi!

Mwisho wa siku akashinda 2-0 na mkeka wangu ukawa chali.

Timu inayoshuka daraja ni sawa na demu mwenye ukimwi, ni mtego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…