Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Report 1xbet
 
Hapa lazima kuna tatizo kwenye kikosi cha Azam au huenda watacheza kikosi B au under 23. Hizi odds nina mashaka nazo:
View attachment 2595869
Azam anaitaka nafasi ya 3 kumkimboa Singida Big Stars

First Eleven ipo pale pale but mchrzaji mmoja ndio ana yellow cards zitazomtoa kwenye squad.

Odds sio hoja Jana Arsenal kacheza na kibonde alichokutana anajua mwenyewe.

Jana Polisi kamkalisha mbabe wa YANGA IHEFU kachapwa.

Sasa Ruvu Shooting kwa nafasi aliyonayo ndio maana wameona haitakuwa Mechi nyepesi kea AZAM away
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…