Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi niliweka over 2.5 sasahivi habari za kuipa timu mazima sitaki
Mzee hii biashara ya betting daaaaah. Yaani huwa naona kama mm kila nikiwekeza naliwa . Nimepona mara moja tu. Saiv naona nilichoshinda chote kimerudishwa na muhindi. Shughuli hii ngumu. Kama mtu hajaingia bora asiingie tu. Daaah. Betting haramu
 
Nimekubali yaishe....
 

Attachments

  • Screenshot_20230422-190925.png
    22.1 KB · Views: 27
  • Screenshot_20230422-190937.png
    23 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…