Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Alafu wafungaje wake ni mabeki nakumbuka akiwa Chelsea reece James ndo alikua anaongoza kwa ufungaji
 
Kuelekea mwisho wa msimj wa ligi ndio kipindi kizuri kwa wanakamaria. Magoli yanakuwa mengi, yaani 2.5 over, home/away team 0.5 Over ni nyingi sana.
Wachambuzi ,hakikisha mkeka wako una over 1.5 au over 0.5 ,hapo kanji atakuja apasuke siku Moja asiyoifahamu. Ndio options za kucheza hizo...at least unaweza kusema kanji kidogo tu apasuke.
Options zingine ni kamari yenyewe haswa.[emoji23][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…