youngashley
Senior Member
- Apr 26, 2013
- 187
- 52
Duh [emoji849][emoji849][emoji849]Nimeishiwa nguvu aisee.. slip 32 betpawa code zote zimechanika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole mkuu, mwenzio napiga vyombo muda huu bada ya kipigo kikali [emoji847]naondoa stress.Nimeishiwa nguvu aisee.. slip 32 betpawa code zote zimechanika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekubali yaishe....
Ndugu yangu. Wote walio humu wanaelewa. Hizi long shots wenzako huwa tunafanya tu tupate hela ya chap.Gambling inahitaji uweke pesa ndefu. Kuna mshikaji yeye ni timu moja tu. Anaweka 1m. Hachezi zaidi ya timu moja. Na ni direct win. Mostly Madrid na city.
Kila la kheri, Kanji nae anakudeku tu kwa mazarau!naandaa 50k nimtafute mhindi wa betpawa, nina amini sitamkosa kwa mikeka 50 (1k kila treni),
matren nitakua nasuka mwenyewe, kila week matreni 10........., mwishoni mwa may nitaleta mrejesho hapa,
Kila lakher mkuunaandaa 50k nimtafute mhindi wa betpawa, nina amini sitamkosa kwa mikeka 50 (1k kila treni),
matren nitakua nasuka mwenyewe, kila week matreni 10........., mwishoni mwa may nitaleta mrejesho hapa,
Umebakiza timu ngapi?View attachment 2596630
Tusikilizie au tuchukue
Beba mzigo chap... akili za kuambiwa changanya na zako🤸View attachment 2596630
Tusikilizie au tuchukue
Umebakiza timu ngapi?
Beba mzigo chap... akili za kuambiwa changanya na zako[emoji1732]
Ninachojua, wengi wanaumia kwa sababu ya tamaa, hapo ndipo muhindi anamaliza watu. Mtu unatamani odds nyingi, kiuhalisia 400odds unaweza kushinda mara moja kwa mwaka, ila 2-5odds kama ukitulia kila wiki hukosi mara mbili tatu.Nimeishiwa nguvu aisee.. slip 32 betpawa code zote zimechanika😂😂😂😂
Hahahhahaha. Heavy User hahha nimeshaacha mzee , now na dada yako hapa ghetto , siku moja moja ukitaka umsalimie wee mpigie simu tuu , you are freeemambo ya akina Lexus SUV haya.
akiona dalili za mkeka kuchanika anaenda kujipoza
naandaa 50k nimtafute mhindi wa betpawa, nina amini sitamkosa kwa mikeka 50 (1k kila treni),
matren nitakua nasuka mwenyewe, kila week matreni 10........., mwishoni mwa may nitaleta mrejesho hapa,