samarianboy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 299
- 395
Gambling inahitaji uweke pesa ndefu. Kuna mshikaji yeye ni timu moja tu. Anaweka 1m. Hachezi zaidi ya timu moja. Na ni direct win. Mostly Madrid na city.
Odds 100 unamuongezea muhindi mtaji tu😁😁😁sema kamari ni kamari, siku yako huijui.Jaman odds 100 za chaap niweke dasi
Hiii mliwekaCODE: 7D8BA0A
Odd: 3.12
DAY:. 22/04/2023
Twitter: @SpoortbookTz
THE HUSTLE BRINGSView attachment 2596031
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora tupige kinywaji tu mdau, kanji hana adabu.Leo sijabeti Niko bar napitia nyuzi humu sijaona win kabisa, ni nini shida wakamaria wenzangu?
Kuna jamaa uko juu kadai kuwa watu wanaoweka stakes kubwa ndo wanamkaanga kanji nimeshangaa sana, Mimi APA ni mfano zamani nilikuwa naweka kuanzia 200k mpaka 500k ila saivi naweka 5k to 10k mwisho,, don't ask why.!!
Al ahly atoe goli moja tu.kule memelodi asha maliza kaziiHawa al ahly na raja cassablnca ni [emoji91][emoji91]
Kwa jinsi wanavyopambna linaweza patikanaAl ahly atoe goli moja tu.kule memelodi asha maliza kazii
Odds 100 unamuongezea muhindi mtaji tu[emoji16][emoji16][emoji16]sema kamari ni kamari, siku yako huijui.
Ndugu samahani lakini, kama utaweza kubadili rangi ya font yako itakaa poa sana maana natumia dark theme inanipa shida na hiwa napenda sana mivhango yako.Leo sijabeti Niko bar napitia nyuzi humu sijaona win kabisa, ni nini shida wakamaria wenzangu?
Kuna jamaa uko juu kadai kuwa watu wanaoweka stakes kubwa ndo wanamkaanga kanji nimeshangaa sana, Mimi APA ni mfano zamani nilikuwa naweka kuanzia 200k mpaka 500k ila saivi naweka 5k to 10k mwisho,, don't ask why.!!
Kwani mnachukua na nani!? Eti jeshii!?View attachment 2596630
Tusikilizie au tuchukue
Japp sio kampuni nayotumia mara kwa mara...Wana opttion nyingi saanaVp 1XBet kuna mikeka ya uhakika sana au team ndio hizhzi za betpawa?,nk
nimeshindwa kuedit iyo font color mkuu sijajua tatizo nini, jaribu kubadili style kutoka kwenye dark modeNdugu samahani lakini, kama utaweza kubadili rangi ya font yako itakaa poa sana maana natumia dark theme inanipa shida na hiwa napenda sana mivhango yako.