Salum Mazwazwa
JF-Expert Member
- Apr 28, 2015
- 1,256
- 1,369
Duu kumbe, ndio maana muhind kawaua sana.mkuu gallants away huwa wanapigwa kama ngoma, hao ni newcomer kwenye mashindano ya caf,.....
mechi zao walizocheza na waarabu kwenye makundi walikua wanagongwa 4-1..... sijui pyramids wana shida gani aisee,
AahahaaaaKama hadi wewe shetani muovu unakutanishwa na vikombe kwenye betting vipi sie wema kama sepetu, si ndio kutenguliwa Taya na kunyonywa uloto Kilimbatzz
Acha wenzio wajifariji ndugu Yangu.Sema nyie jamaa jau sana mnaonyesha baada ya kumpiga muhindi kwanini hizo code msiwe mnazieka na uku na sie wengine tuwe tunapita nazo??
Thread ishaoza!!Shida inakuja Toka hasubui mpaka jion Zina wekwa code nyingi Sana humu je umecheza zote[emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23]
Zakuambiwa unachanganya nzako mbayuwayu
mkuu ligi yao mbona bado mechi tano?Yeah ilikuwa inaisha leo
Mapambano yanaendelea mkuu hakuna kukata tamaaJANA NA MCHANA NA USIKU ULIKUA MBAYA SANA[emoji174]
Hii sehemu si salama tena ndugu zangu tutapigwa Kama MANDONGA
Mawakala wa kanji wameingia humu wanatupoteza tu kiukweli
Haiwezekani mwezi Sasa hata cjackia mtu anatabasamu cyo tu kwa maTRENI au odds ndogondogo!!
Kuna sehemu IMETOBOKA!!
Wana jamvi tukae kikao tu-discuss hili!!
Tutapigwa zaidi!!
NAWASILISHA
NakujaOdd 3 msaada[emoji19]
Nakuja
Ungempa tuu basi YANGA ingefungwa na tungesema bora nisingempa YANGALaiti jana ningejua ningempa hata 500 yanga[emoji19]
Ungempa tuu basi YANGA ingefungwa na tungesema bora nisingempa YANGA
Betting mauzauza