Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii vita unayotaka kuanzisha ,sio mchezo kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]...

Utachezea za uso mpaka dunia utaiona yote umeibeba ...
Acha nijilipue tu mkuu kama bet ni vita bora hiyo kuliko kukaa home bila kazi na pesa hata ya vocha huna
 
[emoji81][emoji81]honestly mikeka ya uyu mwamba ni 0/10
huwa sipendagi kujibizana humu lete ya kwako 10/10 mbona watu wengi wanaleta mikeka humu weka hiyo mingine hii ya kwangu 0/0 pita pembeni hizi negativity humu mna wa discouraged watu aim ya kuleta odds kubwa humu siku tukibahatika hata alieweka sh200 anakula pakubwa
 
Kama wanasehemu wanapata odds ambazo ni 100% uhakika waende huko watuachie zetu za 0% nadhan hakuna haja ya kujibizana na watu vibaya. Kama mtu anadharau jitijada za wato codes basi hajui dhima kuu yetu
 
a
aah code zako jau tu ,,unajiekea t πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ata kama ni bahati sasa ndo ubonyeze bonyeze[emoji23]

9A8E5D sportybet chukua code iyo ..nme weka mtaji apo acha mbamba[emoji736]️
 
Achana na watoto hao kaka ni upinde usijibizane nao. Washajisahau walikuwa wanalialia humu wanalilia utume code zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…