Unaonekana mgeni sana...Unarukia mambo.
Dah Jana alichonifanya ureno sina hata hamu ya kuweka mkeka Leo. Nlichambua mechi zangu mda mwingi sana zote zimetik isipokuwa yeye tuu ktk mikeka miwili. NyambafffuChaliiiiiiii .... daaah Ulsan hata wewe??? tena kwa kibonde Jeonnam??? hii kazi ni ngumu lkn kitaeleweka tu. #AlutaContinua
bet won dakka ya 95 goli linaingiaMimi nimewapa Over 2.5 bado goal moja tuu kwenye match ya Incheon vs Suwon nimpige Mhindi.
Dah Jana alichonifanya ureno sina hata hamu ya kuweka mkeka Leo. Nlichambua mechi zangu mda mwingi sana zote zimetik isipokuwa yeye tuu ktk mikeka miwili. Nyambafffu
iceland wazur sana angalia kwenye group alikotokaa
Pole sn kamandaa ... Portugal jana waliwadharau Iceland wakawa wanacheza utafkiri wanaongoza 5-0. Walifikiri magoli yatakuja automatically ... sheeeeeeeenz kbs.
Imagne nimechambua mkeka wa odd 560
Pole sn kamandaa ... Portugal jana waliwadharau Iceland wakawa wanacheza utafkiri wanaongoza 5-0. Walifikiri magoli yatakuja automatically ... sheeeeeeeenz kbs.
meridian ni tatizo aseee..... kuna kaela kangu kalibakimo..... niingie nikatoe yaaani siwezi kulogin, nilikuwa nasikia tu watu wanalalamika kumbe ndio hivi....UNAWEZA KUWA MPANGO WA MHINDI JINSI YA KUTUPUNA , UNAJUA UNAPO LOGIN INAGOMA UNAJARIBU INAGOMA UNATULIA UNAJARIBU TENA INAGOMA UKIINGIA UMECHAGUA MECHI MOJA YA PILI MARA SERVER ERRO LAZIMA UWE FRUSTRATED HAUTOBET KWA UTULIVU LAZIMA ULIWE , NINACHOONA WANAFANYA MAKUSUDI HAWA JAMAAA...POLENI SANA MNAOTUMIA MERIDIAN.... TANGU NIANZE KUTUMIA PREMIERBETTING ONLINE SIJAWAHI KUKUTA HUU UPUUZI HATA SIKU MOJA....
haha sasa ukitaka kuona maajabu siku wawekee hata 1+.. watashindwa hata kufunga hilo moja utadhani waliishia kusalimiana tu uwanjani.. siku hizi uwezo mkubwa uko kweny kuminya kende sio kukuza mitaji..kuwa mwangalifu mkuu
Bet wonJeonbuk
Sangju
Seoul
Wote over 2.5 goals
sasa mbona hao wenye options nyingi si ndio wazuri mkuu? au unasemaje? labda sijakupata vizuri.Katika watu wabovu ni mbet maana option zao za kishenz sana Kwa mchezo mmoja uwez weka zaid ya option tatu.
Ahsante mkuuUmetisha sn Chief ... HONGERA
Aseee nna zaidi ya mwezi nacheza premier besting online ...sijui wameanza link exactly..... Pesa wako fasta kuweka ndani ya dkk2 chap ...ila kutoa ni ndani ya 24hrsmkuu vp uharaka wao kweny kuweka pesa na kutoa? na wameanza lini hii system ya kulipia tigopesa na mpesa?