Kama kuna timu ambayo haijawahi kuniangusha whatsoever ni FC Astana ya Kazakhstan ... hii timu naiheshimu kinoma, sijawahi kuibetia na ikaniangusha. Nimefanya mistake sn kuichanganya na wajinga jinga wengine leo.
mkuu Y ina maana gani?Back in Business, Here we Go. NDINDINDINDI. Kama Rambo Vile.
CA Osasuna v Girona FC Y Odd 2.22
Stake 100k
Return , 220000
Hawa girona wameniokoa sana mwezi huu. Natumai leo hamtaniangusha kijana wenu.
mkuu Y ina maana gani?
pamoja sana mkuu.wafungane, meridian wanaandika GG
Ngoja tuendelee kutega nyavu
Kups vs hjk helsinki...x2
Fc jazz vs lahti....2
Romania vsswitzerland...x2
France win
Mkuu mi portugal alichonifanyia sitaki hata kusimulia nimekosa ngapi na nimepoteza ngapi. Odds ilisoma 368 yeye tu ndo kachana.Yan bado ninamawenge ya mechi ya jana ya angola. niliwapa over 2.5 wakafungana 2-0. Yan peke yao wamebakia mkeka unasoma m2.5, nilijifungia chumbani kusali goli liingie daah wapiii. Ila ipo siku ataa tu kanji.
Hahaha...yaachie tu mkuu hali ni mbaya, mie nyavu zote zimevua magugu maji tu, nimebakiza moja tu nayo ni ya kuyabana hasa maana Osasuna kaanza na mkwara mzito, nimewapa under 2.5 afu wanafunga kabla hata ya dak ya 10.Kama tupo pamoja tuendelee kuyabana[emoji38][emoji38]
Teh teh Jaluo nyeupe we unasema 368 Mimi sikupenda hata kuattach hapa mana ingenisumbua ubongo kila nkiiona Mimi mmoja ilikuwa 560 na kwingine 176 guess nlikuwa nliweka kiasi gani, na nlikuwa nasubiria hela kiasi gani. Ilikuwa ni hela ya kwenda kununua hekta kadhaa mkuranga na mtaji mnono ubakie na zote kaua yeye. Ila one day YESMkuu mi portugal alichonifanyia sitaki hata kusimulia nimekosa ngapi na nimepoteza ngapi. Odds ilisoma 368 yeye tu ndo kachana.
France winhainaga ushemeji tunakulagaaaaaaaaaa .. naombeni timu mbili za usiku huu
Back in Business, Here we Go. NDINDINDINDI. Kama Rambo Vile.
CA Osasuna v Girona FC Y Odd 2.22
Stake 100k
Return , 220000
Hawa girona wameniokoa sana mwezi huu. Natumai leo hamtaniangusha kijana wenu.
Ubarikiwe sana Girona. Mungu awajalie muingie laliga
Doooh!mchawi pekee kwa leo mpaka hapo ni France...yaani sometimes unashangaa kwa nini hukuweka corners ama shoots... BettingFrance I1
Russia corners over 9.5
Romania corners over 9.5
Swaziland 1x
Zimbabwe 1
Osasuna 2+
BATE 2+
Highlands 1x
Hahhahahahaahah,na kwel asee....Waingie tu hamna namnaaa........Umetiisha sanaaaa Bologna.
Mi hapa France ananipa Jasho.....ahhahahahha