Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,711
Nawazaga sana hv betpawa nikimpuna million50 nitaipataje,Wakuu, hv kuna mtu amefanikiwa kutoa Pesa Helabet kuanzia jana?? Hawa wangese wameanza Michezo ya kitapeli kama 22bet kipindi kileee! sasa hv nishastuka ukiona kampuni lolote Bongo limefanana na 1xbet halafu kudeposit na kuwithdraw ni kwa Mobile payments jua tu ipo Siku Watakuliza watakimbia na Pesa zako! Bora Uhangaike na mawakala wa 1xbet Kuliko Hao waS£nge
Lazima wakuletee mbamba nyingi! kuna mtu wa kuitwa Tips master alikuwa anatumia 22bet aliunda group akasema lile group stake ni kuanzia 2M wakambutua siku mbili tatu 22bet wakaanza figisu za kutoa njia za kuwithdraw ndo mpaka leo hii ile kampuni ikafa maana walikuwa wanapigika haswaaaNawazaga sana hv betpawa nikimpuna million50 nitaipataje,
Tungepata ushuhuda wake,coz tunabet hatujui cku bahat ikitudondokea utaratibu upoje wakuchukua mamillionKwan betpawa halipi? Kwamba yule wa mil100 wamempiga sio?
Tungepata ushuhuda wake,coz tunabet hatujui cku bahat ikitudondokea utaratibu upoje wakuchukua mamillion
Utaenda ofcn inawekwa kwny account yko ya bankNawazaga sana hv betpawa nikimpuna million50 nitaipataje,
Tungepata ushuhuda wake,coz tunabet hatujui cku bahat ikitudondokea utaratibu upoje wakuchukua mamillion
Mimi. Mwenyew nimeichungulia sana hii aisee na nina iman kubwa mno inatoa.View attachment 2616082odd ya bure kabisa kesho..
Marumo gallant over 0.5_2.12
Mimi. Mwenyew nimeichungulia sana hii aisee na nina iman kubwa mno inatoa.
Kweni braza mtaji hauwezi kuukuza taratibu? Mfano unaanza na buku, unafika elfu 10 then unafika laki moja...hapo utakuwa na mtaji mkubwa tu...Mimi siamini Kama tatizo ni mtaji bali naona Kama wengi wetu bado hatujajua kucheza na market mbalimbali wengi tunabase kwenye direct win badoBetting mchawi mtaji aisee
Mhhh!...... Jichanganye uone!...Ya motoo hiyo!....Hiyo ni Milan Derby mzee!.... Kama simba na yanga...Kuna nyingine DC ya Ac Millan ya wazi wazi kabisa
Market zipi Zina nafuuKweni braza mtaji hauwezi kuukuza taratibu? Mfano unaanza na buku, unafika elfu 10 then unafika laki moja...hapo utakuwa na mtaji mkubwa tu...Mimi siamini Kama tatizo ni mtaji bali naona Kama wengi wetu bado hatujajua kucheza na market mbalimbali wengi tunabase kwenye direct win bado
Tangu Betting zianze zaidi ya miaka 10 watu hawajui kucheza na market options?Kweni braza mtaji hauwezi kuukuza taratibu? Mfano unaanza na buku, unafika elfu 10 then unafika laki moja...hapo utakuwa na mtaji mkubwa tu...Mimi siamini Kama tatizo ni mtaji bali naona Kama wengi wetu bado hatujajua kucheza na market mbalimbali wengi tunabase kwenye direct win bado