Wakuu, hv kuna mtu amefanikiwa kutoa Pesa Helabet kuanzia jana?? Hawa wangese wameanza Michezo ya kitapeli kama 22bet kipindi kileee! sasa hv nishastuka ukiona kampuni lolote Bongo limefanana na 1xbet halafu kudeposit na kuwithdraw ni kwa Mobile payments jua tu ipo Siku Watakuliza watakimbia na Pesa zako! Bora Uhangaike na mawakala wa 1xbet Kuliko Hao waS£nge
Sasa Mbona kwangu inakataa?Hela inatoka vizuri tu mkuu, wala hakuna shida, mm nmetoa jana na leo bila bugudha.
Hela Inatoka, Nimetoa Leo.Sasa Mbona kwangu inakataa?
Cheza soka bet punguza tamaaHumu ndani kuna anae cheza ile kitu ya AVIATOR?
Naona ule mchezo ukiwa na mtaji na ukaacha tamaa kuna hela unaweza tengeneza.
Washanipa aiseeHela Inatoka, Nimetoa Leo.
Jaribu kuwasiliana nao
KANIARIBIA SANA JANAReal Madrid vs city nikajua goli 3 zitatoka 🤦mwee mwee
Dah hatari sana yani
mwwenye treni la under 5.5 atupie wakuu..Betpawa[emoji120]
asante sana mkuu..Ubarikiwe mno.5AF624F