Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Na NI group jipya so usishangae kukuta wawili
Jiunge humu ukishajiunga, usitume treni humo humo tuma odds mbili Hadi 4 Tu, ukishajoin usitegemee admin Tu yeye atalusha mkeka mmoja wa odds mbili kila siku. Usitegemee yeye Tu maana yeye ana msingi WA hafutatu.
Usilushe treni humo NI kuanzia odds 2 Hadi 4 Tu.
Uzi hautembei kabisa toka asubuhi mpaka sasa page ni ile ile haijavuka, au wamejikusanya kwa pamoja wameenda kula bata sisi hatuna habari🤣😂😂(natania tu)Humu ndan kimya leo sijui vpgoo vngi
0-0Asec ametokaje wadau
Duh Asec ameshaaga mashindano
Anaitaka finalWazee Mpira unaopigwa na Intermilan ni hatariii[emoji91][emoji91][emoji91]
Mwenyw nimewapa GG ngoja Ac milan aokoe jahazLeo nimecheza live game
Ac milan keshapigwa 2-0 na yupo home so nahisi atajitutumua apate goli
Nimeweka jiwe refu kwa mechi kuisha gg
Mniombee maana hela ikiliwa hii ntaumia [emoji23][emoji23][emoji23]
Ac milan hapigi mashuti sjui magoli atapataje kwa mwendo huuView attachment 2617171