Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nina mkosi na paporimatch sijawahaa kula kule hata kwa bahat mbaya
Ila nikirud sportpesa nakula

Leo nimeweka mkeka mwepesi papprimatch na mgumuwa kubahatisha sportpesa
Nashangaa wa sportpesa umetik then wa aaparimatch umechanwa na esperance ameshindwa kupata goli hata moja [emoji23]
 
Kupata goli
Lens [emoji736]
Lazio [emoji736]
Esperance [emoji19]
Simba [emoji736]
 
umeweka options gn mkuu huo uliokula
 
Ndugu wazee, wakati nikipitia ligi ya Uturuki kutafuta timu za kesho baada ya kulizwa wiki nzima na Kanji, nimekutana na hii scenario. Hii ina maana gani? Yaani timu za mwisho haziwezi kushuka daraja lakini za juu ndio zinashuka?πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Mkuu hii kazi ya mwisho wa msimu tunayofanya sasa hivi sio BETTING bali ni BAHATI NA SIBU kama ile ya TATU MZUKA! Hali mbaya!
 
Lile tetemeko la ardhi ndugu , liliwaletea maafa hizo team , so management waka decide that
 
πŸ’₯
 

Attachments

  • StitchIt_20231305121149_965.png
    65.3 KB · Views: 22
  • StitchIt_20231305121011_692.png
    27 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…