Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unabet hela ya kula ili iweje?
Bet hela ambayo sio ya matumizi ya muhimu kiasi kwamba ukipigwa maisha mengine yaendelee.
Unabet hela ya kununulia dawa,ukifa?
Kubeti noma wazee kanji anakula Hadi hela ya Kula...
Beti kistarabu
 
Unabet hela ya kula ili iweje?
Bet hela ambayo sio ya matumizi ya muhimu kiasi kwamba ukipigwa maisha mengine yaendelee.
Unabet hela ya kununulia dawa,ukifa?
Nimetoa tu angalizo maana kuna rafiki yangu nimeona kapost kua kaliwa hela yote ajui atakula nn nikashangaa sana
 
Changamoto ni 1 kadi Sina, mitaji nayo ndo hizi buku buku sas kumchek wakal Kila wakat hua naona jau
 
Leo nimeshindwa kuweka hela sportybet kwa Tigopesa sijui kuna shida gani
 
Humu ndani kuna anae cheza ile kitu ya AVIATOR?

Naona ule mchezo ukiwa na mtaji na ukaacha tamaa kuna hela unaweza tengeneza.
Ule mchezo ukiwa na timing nzuri na mtaji mzuri hukosi Hela kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…