Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sijui nikufuate hapo na 100K?

Mkali hiyo mia iache hadi kesho. Kesho kuna Y nyingi tu ikiwemo ya yanga nyeupeeee. Najua lazima afungwe 2-1 au 3-1 au 1-1 au wafinland wamejaa kibao.
 
Mkali hiyo mia iache hadi kesho. Kesho kuna Y nyingi tu ikiwemo ya yanga nyeupeeee. Najua lazima afungwe 2-1 au 3-1 au 1-1 au wafinland wamejaa kibao.



Sawa sawa mkuu, ngoja nivute subra tu ... nimeona kesho kuna mechi nyingi sana! [emoji28][emoji28][emoji28]
 
jana kuna mbwa pia anaitwa palmeiras ni hvyo hvyo.. inaonekana hii league ya brazil serie A hai reflect hali halisi ya form ya timu wala position..
Nimekoma kubet katika iyo ligi, juzi kuna mdau alitaka kujilipua uko nikamwambia akae chini afikirie vizuri
 
Waliompa ushindi Spain wajiandae kwa lolote, hali sio nzuri kwa Spain. [emoji28][emoji28] waItaly wametumwa kombe
 
Jana niliacha 5k kwenye account yangu ya meridian ila sasa hv haipo. Hili tatizo limeshawai kumtokea yetote? Nataka niwasiliane nao sasa hv
 
Natoka hivi
Ljungskile SK vs Varbergs Bois
Over/Under Full time 2.5
Bashiri: U
Odds: 1.62
England vs Iceland
Over/Under Full time 2.5
Bashiri: U
Odds: 1.66
 
Friendly match kuna fara mmoja Dk ya 55 kashakula 9 sijui mpaka DK tisini zitakuwa ngapi[emoji57]
 
Natoka hivi
Ljungskile SK vs Varbergs Bois
Over/Under Full time 2.5
Bashiri: U
Odds: 1.62
England vs Iceland
Over/Under Full time 2.5
Bashiri: U
Odds: 1.66
inasound mkalii kila lakheri nakufata tupige wote nmekosa pozi kuandaa mkeka maana nmekuwa kama sielewi kila mkeka chaaaliii wino mwekundu ume metastasize kwenye mikeka yanguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…