Sanga Imma
Senior Member
- Apr 8, 2016
- 177
- 73
Hongera mkuu ila hiyo ya Zesco usijaribu utaugua pressure..labda kama under 2.5 sawa.Nasubiri goli moja tu la mamelod mshahara ujizae mara mbili. wale wanangu wa Y chekini mechi ya Zesco na waarabu wale ina odd 2.3 Y. nayo naweka 100k. tutaonana kesho jamani.
Iyo mechi over 2.5 n gg inatoaHongera mkuu ila hiyo ya Zesco usijaribu utaugua pressure..labda kama under 2.5 sawa.
Sahv ntakuwa naweka mapema ! Wale wanaweka timu kdgo wajichagulie
Nadhani umeona matokeo na nilionya.Iyo mechi over 2.5 n gg inatoa
Zesco leo kazenguaNadhani umeona matokeo na nilionya.
rangi ya siku ya hukumu ni ama zao ama zakoKwa nini hizo "BAR" za Mkeka bet, Wasiziweke za rangi ya blue kama zamani?!??!?! Ndo itaendana na rangi ya maandishi.
Au bhasi maandishi waweke Meusi yaendane na rangi nyekundu.
By the way; Hivi kwa nini makampuni mengi yanapenda kutumia Rangi nyekundu!!! [emoji22][emoji22][emoji22]
inawezekana maana ukitoa hela wako fast kukutumia ila meridian ni cku kadhaaMkeka watakuwa fast kuliko meridian na wengine