Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

inawezekana maana ukitoa hela wako fast kukutumia ila meridian ni cku kadhaa

Kwa Ufasta wa kutoa hela hamna wanaoWashinda, Yaan ndani ya Dakika 2 tu umeshapokea Muamala,hahahahahhaha....

Alafu na ile huduma yao ya kukutumia Message kweny Simu yako kama umeshinda na yenyewe ni nzuri sana( Hamna kampuni nyingine inayoFanya hivyo)

Makampuni mengine yaige mfano wao..

Mi nawapenda pia Meridian, ila tunapishana kweny kusubiria Mshiko wangu nilioshinda Masaa kibao...[emoji23][emoji23]....tena Meridian wameweka 10,000/= kama ndo kiwango cha chini kutoa hela....[emoji23][emoji23]........Wakati MKEKA BET unatoa hadi 2000/= Tshs.
 
Yaani siku unatest zari unashangaaa ngoma inatiki Ila ukibeti serious unaliwa kweli huu mchezo ni wakubahatisha
 
Wadau anzeni kutiririsha odds ... alichonifanya jana Kanjibah sitasahau. Kila mkeka nliokuwa nagusa kuna mchawi mmoja tu ambaye kazi yake ilikuwa kuhakikisha sipati hela kbs.

Wadau anzeni kutiririsha odds ... alichonifanya jana Kanjibah sitasahau. Kila mkeka nliokuwa nagusa kuna mchawi mmoja tu ambaye kazi yake ilikuwa kuhakikisha sipati hela kbs.

Mimi nitarudia kubet mpaka Mkekabet wakae sawa maana kwa sasa huwezi kubet bado imefungwa
 
Mimi nitarudia kubet mpaka Mkekabet wakae sawa maana kwa sasa huwezi kubet bado imefungwa

Haijafungwa mkuu, unabet km kawaida. Sema changes ni nyingi itachukua siku kadhaa kuizoea. Wameniboa kwny bet slip kutoweka colour codes ili kujua ni mechi gani umeshinda na gani umepoteza. The green (ukishinda) & red (ukilose) colours.
 
Mbona mimi nikichagua mechi nikibonyeza kwenye betslip ili niweke stake hakuna kinachotokea? Au hawaruhusu single bet?
 
mnaosema kila kitu tayari wekeni mfano wa mkeka hapa tuone

NIMEJARIBU KUSELECT TEAMS INAKUBALI ILA BET SLIP NDO BADO WAMEFUNGA
 
Aisee hawa mkeka siwa elewi kwa mlio weza ku log in nahitaji msaada
Mimi sion sehem ya password bali wana kwambia uingize Pin ambazo sizikumbuki kwa sasa na tayari nilisha kua na account kabla ya haya mabadiliko ya sasa ivi. Je mlio weza kulog in kwa sasa mmetumia account mpya ama zile zile za zamani???
Msaada kwenye tuta wana jamvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…